Similar User
@marx54783287
@baba_trac
@Modest70954084
@AlqadorA
@AMgonja22
@skool_tz
@SabelLawrence
@MatikoSagire
Don't stop talking about Congo Don't stop talking about Sudan Don't stop talking about Ethiopia Don't stop talking about Biafra
Haya yataendelea mpaka UMMA useme basi! Huwezi kushinda udhalimu bila ya UMMA.
Swali tunalohitaji kujiuliza kama umma na hili, @SuluhuSamia anapata wapi UJASIRI wa kuendelea kutumia vyombo vya dola, kama @tanpol , kubaka demokrasia kiasi hiki?🤔 Mpaka lini?🤔
‼️SAMIA SULUHU IS TARGETING AND DISAPPEARING YOUNG OUTSPOKEN ACTIVISTS AND OPPOSITION‼️ Both @DEUSDEDITHSOKA and @mdudechadematz are good community organizers, active social media users, outspoken and fearless critic of @SuluhuSamia 👉🏽Deusdedith was abducted by plain clothes…
#TANZANIA: WANANCHI WA MWANZA WAGOMA KUTAWANYIKA, WAMSINDIKIZA LISSU NA PAMBALU HOTELINI WALIKOFIKIA Wananchi wa #Mwanza wagoma kutawanyika baada ya Tundu Lissu na @John_Pambalu kumaliza mkutano, wawasindikiza @TunduALissu na Pambalu kwa maandamano hadi hotelini walikofikia,…
Ukatili wa serikali ya @ccm_tanzania na ukatili wa jeshi la polisi @tanpol chini ya Raisi @SuluhuSamia umesababisha wakina @DEUSDEDITHSOKA na wenzake waendelee kuwashikilia kusikojulikana kwasababu ya kukosoa maovu ya serikali yao. #FreeSokaNaWenzake #StopAbductionInTanzania
…. Kwenye hizi kampeni kama unafatilia utagundua, 1. CHADEMA wanazungumza matatizo ya watu na namna serikali ya CCM wameliingiza Taifa kwenye Shida tangu 2016. 2. CCM wanazungumza matatizo na migogoro ya CHADEMA. Unagundua, Great minds discuss Idea, Small mind discuss People.
KAZI NI MOJA TU 👉🏽Kila mtu achangue bango analotaka apost 👉🏽Na aweke hashtag #FreeMdude #FreeMdudeNyangali 👉🏽 unaweza weka kama reply kwa madhulmat kama @tanpol @SuluhuSamia na viongozi wengine 👉🏽 Unaweza kuwawekea reply viongozi wa kimataifa wakiwemo mabesti wa Bi Kizimkazi…
“Polisi wamepiga sana na kumuumiza @mdudechadematz tangu walipomshusha kwenye gari mpaka tunafika kituoni”-; Mhe. @freemanmbowetz
JESHI LA POLISI @tanpol Waziri Masauni pamoja na @SuluhuSamia msijione kuwa mna nguvu za kushinda umauti. Kijana huyu na wengine mliowakamata tangu mwaka huu uanze hawapunguzi chuki, hasira za watanzania juu yenu. Kufanya hivi ndivyo mnazidi kuongeza chuki. Waachieni.…
SATIVA, usikubali kuuziwa woga. Get up, stand up / Stand up for your right / Get up, stand up / Don’t give up the fight.” — Robert 'Bob' Nesta Marley and the Wailers, , “Get Up, Stand Up” - 1973 Robert 'Bob' Nesta Marley anaanza kwa kusema Preacherman, don't tell me/Heaven is…
MAKE THIS HASHTAG TREND 👊🏽 Please REPOST AND SHARE #Tanzania We need @mdudechadematz RELEASED and ALIVE! #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude 👉🏽Ni wajibu wetu kwenda kwenye akaunti za…
HAWA WOTE WAMEUMIZWA NA JESHI LA POLISI SONGWE. Picha 1: Maiko MSongole Mwenyekit Wilaya ya Mbozi huyu ameumizwa sana Picha 2: Mwanachama wetu ni Mzee naye kaumizwa kichwani na Mbavu Picha 3: Mwanachama wetu Picha 4: Mwenyekit ACT Mkoa wa Songwe Ameumizwa miguu na mikono
Sipo apa kupish agenda au #. Ila uyu jamaaa kaongea point kaongea point kuliko viongozi wenu
We see you @DEUSDEDITHSOKA - everybody sees you @SuluhuSamia utekaji hauna tija waachie akina Soka #FreeDeusdedithSoka #FreeAllPoliticalPrisoners #TANZANIA
Tumejulishwa na Mhe. Mwakajoka kuwa Jeshi la Polisi Mkoani Songwe limewakamata Mhe. Mbowe, Mhe. Sugu, Mhe. Haonga, Ndg. Mdude na wengine. Tunatoa wito kuwa waachiwe mara moja na Jeshi la Polisi liache kuingilia kampeni za Uchaguzi kwa maslahi ya CCM.
VIBAKA wa jeshi la POLISI walihisi huu USHENZI hautafikia dunia. Wamevunja viioo vya magari. Wamepiga viongozi wa CHADEMA. Wamepokonya waandishi wa Habari kamera zao na vyombo vyao vya kazi. Walitega gari kati kati ya MSITU ambapo hakuna nertwork ndio wakaanza kufanya huu…
JESHI LA POLISI 🇹🇿 NI TAWI LA CCM JESHI LA POLISI 🇹🇿 NI TAWI LA CCM JESHI LA POLISI 🇹🇿 NI TAWI LA CCM JESHI LA POLISI 🇹🇿 NI TAWI LA CCM JESHI LA POLISI 🇹🇿 NI TAWI LA CCM JESHI LA POLISI 🇹🇿 NI TAWI LA CCM JESHI LA POLISI 🇹🇿 NI TAWI LA CCM JESHI LA POLISI 🇹🇿 NI TAWI LA CCM
Nilishapoteza rafiki zangu kadhaa kwa ugonjwa wa Hepatitis B. Vijana makini na wenye ndoto kubwa. Ima jamii ingejua uhatari, wangekuwa wanapima Hepatitis B kabla ya kuwa na wenzi wapya. Kwangu Hepatitis ndio ugonjwa tishio zaidi.!
😅😅 Ee Mungu aniepushe nisipigwe spana na @TunduALissu 🤣🤣🤣 Ndo maana tunampenda ye yuko kwenye haki na ukweli “Mapicha picha wanaenda kwenye maridhiano!” Anyway #FreeMbowe 👊🏽
United States Trends
- 1. #UFCMacau 25,4 B posts
- 2. Wayne 98,2 B posts
- 3. #Arcane 412 B posts
- 4. Good Saturday 27,6 B posts
- 5. Ricci 2.817 posts
- 6. #saturdaymorning 3.719 posts
- 7. Madueke 12,5 B posts
- 8. Leicester 45,1 B posts
- 9. #Caturday 4.638 posts
- 10. Figgy 1.656 posts
- 11. #LEICHE 26 B posts
- 12. Ekko 80,9 B posts
- 13. Petr Yan 2.335 posts
- 14. Noni 7.098 posts
- 15. Palmer 29,7 B posts
- 16. Jayce 79,4 B posts
- 17. Ndidi 4.202 posts
- 18. Neil 22,6 B posts
- 19. Surgeon General 61,5 B posts
- 20. Gabriella Fernandes N/A
Something went wrong.
Something went wrong.