Similar User
@sparo_JMs
@hamza_mohamed70
@BettyAn02327824
@Josephmoshi34
@samgurtu
@cocaboi92
@youngjaykay82
@TJTH_WWE
@babenkl
@Wwwfroxie
Mjue Robert Chesebrough: Mvumbuzi wa Mafuta Maarufu leo hii Vaseline. Wakati wengine wakikimbilia fulsa ya mafuta baada ya kugunduliwa, yeye aliiona fulsa kwenye uchafu wa mafuta uliokuwa ukiwakera watu. Anakumbukwa sana kwa kauli yake maarufu isemayo: "Innovation doesn’t…
Leo, Colgate-Palmolive ni mojawapo ya kampuni kubwa zaidi za bidhaa za usafi wa mwili na nyumbani duniani. Kwa mwaka 2024, kampuni hii inakadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya dola bilioni 68. Thamani hii inajumuisha mtaji wa soko na mapato kutoka kwa mauzo ya bidhaa…
Baada ya kifo cha baba yake, James alianzisha juhudi za kupanua kampuni kwa kuongeza bidhaa mpya. Alianza kuzalisha sabuni za kuogea, mafuta ya ngozi, na mafuta ya nywele, akiongeza aina mpya za bidhaa zilizozidi kufahamika sokoni. Bidhaa hizi zilisaidia kuongeza umaarufu wa…
Colgate aliingiza faida sana kwani biashara yake ilipanuka sio tu Marekani bali ilifika hadi nyumbani kwao Uingereza na aliiendesha kampuni yake vizuri sana hadi umauti ulivyomkuta mwaka 1857 akiwa na miaka 74. (William Colgate, ukiacha na biashara yake, dunia inamkumbuka kama…
Colgate alianzisha kampuni yake rasmi akaaiita William Colgate & Company lakini haikumchukua muda akajikuta kwenye tatizo lile lile "Ushindani wa Kibiashara". Awamu hii kulikuwa na washindani kama Pearl Dental Cream na Sheffield's Creme Dentifrice. Lakini Colgate alitumia mbinu…
Watu hawa watatu wakawa na chemistry nzuri sana na pia wakawa na maono makubwa zaidi sio tu kutengeneza mchanganyiko mzuri wa dawa hiyo bali kubadilisha kabisa dawa ya meno kutoka kuwa ya poda na kuwa jelly kama hii tunazotumia leo. Lengo lao kuu lilikuwa ni kutengeneza dawa…
Kijana alipokuwa kazini alipata wazo la kutengeneza bidhaa za kusafisha meno ambazo zingekubalika kwa watu kwani wakati huo usafi wa kinywa ulikuwa changamoto kubwa kwa watu wengi, huku bidhaa za kusafisha mdomo zikiwa adimu na ghali. Watu wakati huo walikuwa wakitumia…
Mnamo mwaka 1806, kijana William Colgate kutoka Uingereza alihamia New York, Marekani akiwa na miaka 23, akiwa na ndoto moja ya kuusaka utajiri. Kipindi hicho, watu wengi duniani walikuwa na msemo wa "The American Dream", kwa maana kwamba Marekani ilikuwa inajulikana kama nchi ya…
Mjue William Colgate: Mwanzilishi wa Dawa ya Meno Maarufu Leo Hii, Colgate Wakati wengi walikuwa wanatafuta njia za kufanikiwa kwa kuuza bidhaa zao, William Colgate aliona fursa kwenye biashara ya usafi wa kinywa. Alikumbukwa sana kwa kauli yake maarufu inayosema: "The most…
Top 10 wasanii ambao ni ndugu wa damu lakini hawataki watu wajue. Nb: Namba 04 wengi hawataamini 😂 10. Country Wizzy & Babuu Wa Kitaa
Nani mwingine ana Ujasiri wa kusema kwamba licha ya changamoto zote, "MUNGU amekuwa mwema kwangu kila wakati" 🙏
TANGANYIKA ni Neno la Kishona lenye Maana ya mahali maisha yalipoanzia. Nchi mpya! au Mahali Mungu alipoanzia uumbaji?Hivyo Tanganyika ni jina lenya nguvu yenye asili ya uumbaji. DAI KATIBA MPYA, uwepo wa TANGANYIKA NA KUHARAMISHWA KWA IGA YA TANZANIA NA DUBAI.
Tatizo ni kwamba siku zote binadamu hajui anataka nini ukimfanyia Wema atasema unajikweza kwa Sababu wewe unacho, usipomfanyia wema atasema una roho mbaya, ukikaa kimya atasema unaringa, ukiwa mzungumzaji atasema unajifanya unajua kila kitu, Tunatakiwa kuishi nao kwa akili sana
Tunaichukua. Tunaiongezea font. Tunapeleka stationery ya pale Friends Corner waiweke kwenye fremu. 😊🙏
Nafasi ya Mwanaume kamwe haiwezi kuzibwa na Mwanamke. And Vice Versa. FACTS.
Formula ya maisha yangu ipo hivi! -Kila kitu kwenye maisha nimemkabidhi Mungu -Naepuka hasira kwa gharama yoyote -Sipendi kumuona mtu anaumia au kusononeka -Sijiwekei matarajio makubwa -Sina marafiki (Nina watu wakaribu) -Sikai na chuki dhidi ya mtu -Kwangu pesa ni baada ya utu.
The impressive size of Christ the Redeemer on top of the Corcovado mountain in Rio de Janeiro, Brazil 🇧🇷 🎥 world_walkerz | IG
United States Trends
- 1. Good Tuesday 27,9 B posts
- 2. #tuesdayvibe N/A
- 3. #19Nov 2.300 posts
- 4. Sony 52,7 B posts
- 5. soobin 109 B posts
- 6. #TuesdayMotivation 1.037 posts
- 7. KADOKAWA 44 B posts
- 8. $MEMERA N/A
- 9. #suitcase N/A
- 10. Fultz 2.120 posts
- 11. Accused 105 B posts
- 12. #Wordle1249 N/A
- 13. Nancy Mace 22,5 B posts
- 14. FromSoftware 16,7 B posts
- 15. ATACMS 85,1 B posts
- 16. Eliza 16,2 B posts
- 17. Sarah McBride 15,2 B posts
- 18. Clippers 12,6 B posts
- 19. Herta 54,9 B posts
- 20. Aquarius 23,8 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.