@Francismlandeka Profile picture

FrancisJr

@Francismlandeka

Sports and games

Joined February 2022
Similar User
Arnold Rwegasira photo

@ArnoldRweg87704

LUL☯︎_𝕏 photo

@LuloScott

Benardson photo

@Benardson07

magodoro_imara photo

@magodoroimara

Nicklas 🦁 photo

@Nicklas96446447

vitus francesco majula photo

@VitusMajula

magesa julius photo

@JuliusMagoti

G.G MCHOPA photo

@MchopaGabriely

Dis-minder photo

@Its_Disminder

ngonji photo

@ngonji7

babu jrm photo

@babu_jrm

Philipo Bwana photo

@bwana_philipo

Obby photo

@BenardOberd

Nguruti Charles photo

@NgurutiC

Trable Mekker photo

@MekkerTrable

FrancisJr Reposted

Mdomo uliponza kichwa

From Joti

FrancisJr Reposted

Husda ni unyonge wa nafsi —inferiority. Husda huchochea makasiriko dhidi ya aliyekuzidi. Husda huchochea mashindano. Hukuaminisha unyonge wako utapungua mwenzako akikosa. Husda hufungua macho ya kuona mapungufu. Ukiwa mtu wa husda huwezi kuona jema la mtu ukalisema.


FrancisJr Reposted

Furaha ya kweli ya Mkristo imo katika kuinua sauti yake ili kumtangaza na kumleta Kristo kwa wengine. lakini furaha yetu itadumu kama watu tunaoishi nao kama maskini, walemavu, wagonjwa na wenye shida mbalimbali watakuwa na furaha. Hii inatudai sisi kuwa sababu ya faraja na…

PKishamba's tweet image. Furaha ya kweli ya Mkristo imo katika kuinua sauti yake ili kumtangaza na kumleta Kristo kwa wengine. 

lakini furaha yetu itadumu kama watu tunaoishi nao kama maskini, walemavu, wagonjwa na wenye shida mbalimbali watakuwa na furaha. 

Hii inatudai sisi kuwa sababu ya faraja na…

FrancisJr Reposted

“Eti mimi ndo unitegemee ,? Hata kama huna akili inabidi ujiongeze.” Ila huyu mtoto miyeyusho sana .😂😂


FrancisJr Reposted

NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA 09 ✝Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Nina kuja mbele yako, Ee Mtakatifu Rita, siku hii ya mwisho ya Novena hii Takatifu. Ninayasikia mapigo ya moyo katika kipindi hiki kigumu cha maisha yangu…

AlesandroJR's tweet image. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA 

SIKU YA 09

✝Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.

Nina kuja mbele yako, Ee Mtakatifu Rita, siku hii ya mwisho ya Novena hii Takatifu. Ninayasikia mapigo ya moyo katika kipindi hiki kigumu cha maisha yangu…

FrancisJr Reposted

NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA 08 ✝Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mt. Amina Ewe kielelezo kitakatifu cha Msalaba Mtukufu, ninapokuona ukiwa umesujudu mbele ya miguu mitakatifu ya Bwana, ninapotafakari paji la uso wako lililojeruhiwa kwa mwiba uliotoka…

AlesandroJR's tweet image. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA

SIKU YA 08

✝Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mt. Amina

Ewe kielelezo kitakatifu cha Msalaba Mtukufu, ninapokuona ukiwa umesujudu mbele ya miguu mitakatifu ya Bwana, ninapotafakari paji la uso wako lililojeruhiwa kwa mwiba uliotoka…

FrancisJr Reposted

NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA 07 Kwa jina laBaba, nala Mwana, nala Roho Mtakatifu, Amina. Ee mpedwa Rita, ambaye maisha yako yalikuwa yahuzuni. Nielekezee uso wako wa huruma mimi mwenye maumivu makali. Naomba sala zangu, uchovu wangu na kuchechemea kwangu…

AlesandroJR's tweet image. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA

SIKU YA 07

Kwa jina laBaba, nala Mwana, nala Roho Mtakatifu, Amina.

Ee mpedwa Rita, ambaye maisha yako yalikuwa yahuzuni. Nielekezee uso wako wa huruma mimi mwenye maumivu makali. Naomba sala zangu, uchovu wangu na kuchechemea kwangu…

FrancisJr Reposted

NOVENA KWA MT RITA WA KASHIA SIKU YA 06 Kwa Jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina Nafahamu kuwa sababu ya dhambi zangu sala zangu zimefunikwa na wingu zisiweze kufika katika kiti chako cha enzi. Dhambi zangu ni sababu ya adhabu zangu kubwa. Sina ujasiri wa…

AlesandroJR's tweet image. NOVENA KWA MT RITA WA KASHIA

SIKU YA 06

Kwa Jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina

Nafahamu kuwa sababu ya dhambi zangu sala zangu zimefunikwa na wingu zisiweze kufika katika kiti chako cha enzi.

Dhambi zangu ni sababu ya adhabu zangu kubwa. Sina ujasiri wa…

FrancisJr Reposted

NOVENA YA MTAKATIFU RITA WA KASHIA SIKU YA TANO (5) Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu, Amina. Sala ya Kutubu Mungu wangu nimetubu sana, niliyokosa kwako. Kwani ndiwe mwema, ndiwe mwenye kupendeza. Wachukizwa na dhambi, basi sitaki kukosa tena. Nitafanya…

AlesandroJR's tweet image. NOVENA YA MTAKATIFU RITA WA KASHIA

 SIKU YA TANO (5) 

Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu, Amina.

Sala ya Kutubu
Mungu wangu nimetubu sana,
niliyokosa kwako. Kwani ndiwe
mwema, ndiwe mwenye
kupendeza. Wachukizwa na
dhambi, basi sitaki kukosa
tena. Nitafanya…

Maana halisi ya upendo

ASIYE-KUPOST NDIO ANAKUPENDA📌 Au mnasemaje?



FrancisJr Reposted

NOVENA KWA MT. RITA WA KASHIA SIKU YA 04 Kwa Jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu, Amina. Ee Mtakatifu wa yale yaliyoshindikana, na wakili wa waliokata tamaa. Hizi ni sifa safi zenye kujaa tumaini kwa roho zenye kujaribiwa na uchungu. Kwako wewe Mtakatifu Rita wa…

AlesandroJR's tweet image. NOVENA KWA MT. RITA WA KASHIA SIKU YA 04

Kwa Jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu, Amina.

Ee Mtakatifu wa yale yaliyoshindikana, na wakili wa waliokata tamaa. Hizi ni sifa safi zenye kujaa tumaini kwa roho zenye kujaribiwa na uchungu. Kwako wewe Mtakatifu Rita wa…

FrancisJr Reposted

NOVENA KWA MT. RITA WA KASHIA. SIKU YA 03 Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu, Amina. Natazama huku na huko bila ya kupata mahali pa mapumziko, huku macho yangu yakiwa yametiwa uvuli kwa uchungu. Matarajio yoyote ya dunia hii hayauchangamshi moyo wangu…

AlesandroJR's tweet image. NOVENA KWA MT. RITA WA KASHIA.

SIKU YA 03

Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu, Amina.

Natazama huku na huko bila ya kupata mahali pa mapumziko, huku macho yangu yakiwa yametiwa uvuli kwa uchungu. Matarajio yoyote ya dunia hii hayauchangamshi moyo wangu…

FrancisJr Reposted

Bongo movie ilikuwa kipindi cha Kanumba bhana😂


FrancisJr Reposted

LITANIA KWA MTAKATIFU RITHA WA KASHIA ----------------------------------- Bwana Utuhurumie, Kristo Utuhurumie, Bwana Utuhurumie, ----------------------------------- Kiitikio: Utuhurumie" Baba wa Mbinguni, Mungu, Mwana Mkombozi wa Dunia,Mungu, Roho Mtakatifu, Mungu, Utatu…

AlesandroJR's tweet image. LITANIA KWA MTAKATIFU RITHA WA KASHIA
-----------------------------------
Bwana Utuhurumie,
Kristo Utuhurumie,
Bwana Utuhurumie,
-----------------------------------
Kiitikio: Utuhurumie"
Baba wa Mbinguni, Mungu,
Mwana Mkombozi wa Dunia,Mungu,
Roho Mtakatifu, Mungu,
Utatu…

FrancisJr Reposted

NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA. SIKU YA 02 Kwa Jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina Ewe mfanya miujiza Mtakatifu Rita wa Kashia. Naona njia ya maisha yako imejaa majaribu na miiba mingi inayochoma, ambayo nahofia imepasua moyo wako vipande vipande. Ee…

AlesandroJR's tweet image. NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA.

SIKU YA 02

Kwa Jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina

Ewe mfanya miujiza Mtakatifu Rita wa Kashia.  Naona njia ya maisha yako imejaa majaribu na miiba mingi inayochoma, ambayo nahofia imepasua moyo wako vipande vipande. Ee…

FrancisJr Reposted

NOVENA KWA MT. RITA WA KASHIA, SIKU YA 01 Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Ee Mtakatifu Rita mfanya miujiza, uniangalie kwa macho yako yenye huruma, mimi ninaye teseka na kutoa machozi. Uone moyo wangu unaotoka damu umezungukwa na miiba. Yaone macho…

AlesandroJR's tweet image. NOVENA KWA MT. RITA WA KASHIA, SIKU YA 01

Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.

Ee Mtakatifu Rita mfanya miujiza, uniangalie kwa macho yako yenye huruma, mimi ninaye teseka na kutoa machozi. Uone moyo wangu unaotoka damu umezungukwa na miiba. Yaone macho…

Unapokutana na mtu mwenye uwezo mkubwa kwenye jambo fulani, usishindane nae bali jifunze kutoka kwake uwe bora kama yeye.


Watu waovu wakiamua kubadilika na kuwa wema hujawa na hekima ndani yao, lakini watu wema wakibadilika na kua waovu hujawa na kiburi katika mioyo yao.

Francismlandeka's tweet image. Watu waovu wakiamua kubadilika na kuwa wema hujawa na hekima ndani yao, lakini watu wema wakibadilika na kua waovu hujawa na kiburi katika mioyo yao.

Mungu wetu ni mwenye huruma na mwenye kusamehe. TUMSIFU YESU KRISTO...

Francismlandeka's tweet image. Mungu wetu ni mwenye huruma na mwenye kusamehe.

TUMSIFU YESU KRISTO...

Try again🤲

Usikate tamaa. Ukishindwa jaribu tena!!



Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.