@EmmyMussa Profile picture

emmy mussa

@EmmyMussa

A mother to shamim

Joined September 2015
Similar User
hassan kibiki 🇹🇿 photo

@kibiki001

Annastazia Sarungi photo

@AnnaSarungi

GERVAS TEMU photo

@GervasTemu

Gulatone Masiga photo

@Masiga_tz

mimiasha_ photo

@mimiasha_

MTETEZI WA WASOMI photo

@EzeMgeni

emmy mussa Reposted

NO matter how laid back and cool you are, there will always be that one person who doesn't like you for no reason.. It's life...😌


emmy mussa Reposted

Mwenyekiti mpya (M/Kiti #5) wa CCM ni Mhe Rais Dkt @MagufuliJP Kura zilizopigwa: 2398 Kura za Ndiyo: 2398 (100%)

Tweet Image 1

emmy mussa Reposted

Kazi namba moja itakuwa kuimarisha utendaji kazi wa chama. Chama legelege huzaa serikali legelege. - Mhe Mwenyekiti, Rais Dkt @MagufuliJP


emmy mussa Reposted

Kazi namba mbili itakuwa kuongeza idadi ya wanachama wa CCM. - Mhe Mwenyekiti, Rais Dkt @MagufuliJP


emmy mussa Reposted

Kazi namba tatu itakuwa kuondoa rushwa katika chama. Rushwa imesababisha chama kupoteza maeneo. - Mhe Mwenyekiti, Rais Dkt @MagufuliJP


emmy mussa Reposted

Yeyote atakayetumia rushwa ndani ya CCM afahamu kabisa kwamba hatapata anachogombea. - Mhe Mwenyekiti, Rais Dkt @MagufuliJP


emmy mussa Reposted

Ukiwa umejipanga kupata uongozi kwa rushwa, nasema kwa dhati, hutapita. - Mhe Mwenyekiti, Rais Dkt @MagufuliJP


emmy mussa Reposted

Kazi namba nne itakuwa kukomesha usaliti ndani ya chama. Wasaliti hawatakuwa na nafasi. - Mhe Mwenyekiti, Rais Dkt @MagufuliJP


emmy mussa Reposted

M/Kiti, Mhe Rais Dkt @MagufuliJP ameamua Sekretarieti yote chini ya Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana iendelee kubaki katika nafasi yake.


emmy mussa Reposted

Ulishawahi kuomba rushwa ili utoe huduma fulani. @NiambieTZ tunakuangazia kila jmosi 5-6 mchana.

Tweet Image 1

emmy mussa Reposted

@Regrann from @adamchomvu - #washkajizangu deep conversation last night : Jonii : daddy we need to talk... fb.me/1jFMcHTzZ


emmy mussa Reposted

Tukio kubwa usiku huu wa Leo lililogusa mioyo, pamoja na macho ya Watanzania wengi ni kushuhudia uzimwaji wa simu feki ifikapo 6:01 Usiku.


emmy mussa Reposted

SIMU FEKI KUZIMWA LEO SAA SITA USIKU Simu zilizoingizwa nchini zikiwa hazina kiwango kuzimwa rasmi leo masaa... fb.me/7ZyWHdwiD


emmy mussa Reposted

huku ktaan ni vurugu 2pu yan kpande cha 89.3 clouds FM kigoma


emmy mussa Reposted

shukraaan shukraan m'barikiwee capiteeeeiiiin!!


emmy mussa Reposted

very soon Daddy😘😘😘


emmy mussa Reposted

@Divathebawse My daughter may u please play for me #OG from @GnakoWarawara tukiusubiria msimu mpya wa OG. @CloudsMediaLive


emmy mussa Reposted

Tunawatakia ndugu zetu Waislam mfungo mwema na Tulivu. Tayari kumi la kwanza la Rehema limekamilika.

Tweet Image 1

emmy mussa Reposted

•Basi la Tahmeed kutoka Tanga lateketea kwa moto hakuna abiria aliyeumia mali na mizigo vyateketea.

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.