Similar User
@jackielawrencem
@TrevorSix1
@sungweone
@chikambaku
@Mld3dd
@mkaguru1997
@baraka__8
@ankonadeem
@Gwandumithespy_
@dokta_suley
@kendrickiny
@Elmagnfc0
@octaa01
@ERChilimo
@king_lameck
A historic day today ,members of @yangasc1935 unanimously passed the transformation and constitutional change of the club @ #AGM2021 .This is historic in the 86 year of club existence.No time to celebrate , the real work starts from tomorrow.#DaimaMbeleNyumaMwiko
Road to AGM - explaining the football transformation of @yangasc1935 in the language best understood by the elders and in the simplest form #RoadtoMabadiliko #RoadtoAGM #TTT #TrustTheProcess #DaimaMbeleNyumaMwiko
I ran for president for three reasons: to restore the soul of the nation, rebuild the middle class, and unite the country.
😲 Mara paap!!! Umeibuka mshindi wa Mil 521,471,360 za Jackpot Baba Lao wikiendi hii, Utazifanyia nini❓ 🏠Jumba la kifahari 🚗Gari 🤝Biashara 🏖️Kula bata Na kuna BONUS za kibabe kwa mechi 10, 11, 12 #SportPesaChezaBilaBando
Tujitokeze kwa wingi kuipa sapoti timu yetu kesho kwenye mchezo wetu wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga 💛💚💪🏾 #Fans 🏆 #TimuYaMwananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema kutokana na stendi mpya ya mabasi Mbezi Luis kuwa na hadhi ya kimataifa, anapendekeza ipewe jina la Rais Dkt. John Magufuli kama sehemu ya shukrani na kuthamini jitihada alizofanya, ambapo amesema atamuomba Rais aridhie ombi hilo.
Palm Jumeirah 🌴, Palm Jumeirah ni kisiwa kilichoko Dubai, kisiwa hiki kimetengenezwa katika muonekano wa mti wa mnazi/palm. Hiki ndio kisiwa kikubwa kuliko visiwa vyote vya kutengenzwa na mwanadamu duniani.
Mapenzi kwa Nchi yako si Lazima yawe mapenzi kwa Serikali ya nchi hiyo. Hali kadhalika chuki kwa Serikali sio lazima iwe chuki kwa Nchi yako. Uzalendo ni kuipenda NCHI yako sio kuipenda Serikali. Kila wakati jitahidi chuki kwa Serikali ya Nchi yako isiwe kwa NCHI. ‘Newmonia’ ipo
Air Tanzania imeanzisha safari za Dar-Geita (Chato) ambapo safari yake ya kwanza ni leo January 9 2021 ——> “siku tuliyoisubiria kwa hamu imewadia, leo tunatarajia kufanya safari yetu ya kwanza ya Dar-Geita(Chato), safari zitakua Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi’ #MillardAyoUPDATES
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ametangaza kuwa atapatiwa chanjo ya #COVID19 mapema wiki ijayo, huku akiwasihi watu wengine kupata chanjo hiyo ili kulinda maisha yao na ya wengine.
Benki ya Dunia (WB) imesema uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa 5.5% kwa mwaka 2021, kutoka 2.5% ya mwaka 2020. Ongezeko hilo limechangiwa na dunia kuendelea kujikwamua kutoka kwenye athari za #COVID19. Serikali ya Tanzania ilikadiria uchumi wake utakua kwa 5.5% mwaka 2020.
Mesut Ozil wakati wowote huenda akatambulishwa kwa Miamba ya Uturuki Klabu ya Fenerbahce anayoichezea Mbwana Samatta
Trump: Sasa bunge la Congress limeidhinisha matokeo na sasa utawala mpya utaingia tarehe 20 Januari. bbc.in/3opaCIU
PAULINE OPANGO LUMUMBA; mke wa mwanamapinduzi wa Zaire (sasa DR Congo) Patrice Emery Lumumba, alishuhudia kukamatwa kwa mumewe mjini Ilebo jimboni Kassai-Occidental kabla ya kuuwawa jimboni Katanga Januari 17, 1961. Alichofanikiwa kubaki nacho Pauline ni Barua ya Lumumba
MAMA FATMA KARUME; anasema mzee ABEID KARUME alimueleza, endapo atakutwa na mauti katika mapinduzi ya kumuondoa SULTAN katika ardhi ya Zanzibar, basi mkewe abakie kwa furaha na amani kwa sababu mumewe ni shujaa na akamtaka asomeshe watoto wao (endapo atakutwa na mauti). UZI 👇
Muonekano wa Chuo cha Mafunzo na Ufundi Stadi (VETA) cha Wilaya ya Chato mkoani Geita. Chuo hicho kimezinduliwa leo na Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi.
Say no more... Leo nimekunywa juice 2 za buku buku na ya tatu ya take away nikabeba nitakunywa usiku.😋😋 Huyu dada juice zake ka katia sukari asee.🙌🏿🙌🏿🙌🏿 Nambie umeona nini kingine?
🇨🇩🇧🇪 Jackson Muleka meanwhile has found his footing for Standard Liege, with 2 goals in his last 4 games. Going from Linafoot to Jupiler Pro is a big step- and one that he seems to be getting used to very quickly. He'll be one to watch for next season.
Mungu akujaaliye wepesi na urudi tena kuwa sawa
United States Trends
- 1. $DUCK 7.385 posts
- 2. Iran 256 B posts
- 3. #4YearsOfEvermore 7.070 posts
- 4. Ferran 40,9 B posts
- 5. Wray 122 B posts
- 6. West Point 61,2 B posts
- 7. #instagramdown 52,6 B posts
- 8. $VNTR 6.206 posts
- 9. Teel 7.042 posts
- 10. Man City 24,6 B posts
- 11. Crochet 25,5 B posts
- 12. Weah 2.649 posts
- 13. Dortmund 67,2 B posts
- 14. New Jersey 127 B posts
- 15. Pentagon 45,7 B posts
- 16. White Sox 11,5 B posts
- 17. Barca 72,8 B posts
- 18. Sinema 15,2 B posts
- 19. Hartline 1.412 posts
- 20. Pred 9.375 posts
Who to follow
-
Jacqueline Lawrence
@jackielawrencem -
TRAVELLER_0115
@TrevorSix1 -
SungweCost
@sungweone -
chikambaku
@chikambaku -
guyu
@Mld3dd -
Masai wa Zanzibar
@mkaguru1997 -
Mneka Jr
@baraka__8 -
Anko nedd
@ankonadeem -
1 วσнη 4:20🇹🇿🇸🇴
@Gwandumithespy_ -
Dokta suley
@dokta_suley -
ked
@kendrickiny -
Mpwah
@Elmagnfc0 -
#OCTAVIUS
@octaa01 -
CHILIMO
@ERChilimo -
king lameck
@king_lameck
Something went wrong.
Something went wrong.