Similar User
@malalo_adam
@NicolousSeleman
@RasulKavishe
@JVerul
@FZephline
@godfrey_asajile
@AbdullahSaiwaad
@lutonja
@AbelZachalia
Jimbo la Muhambwe Kigoma kijiji cha Kigendera CDM imeshinda vitongoji 6 kati ya 10. Pia Uenyekiti wa Kijiji hicho. Mawakala wa CCM wamesaini fomu za kukubali matokeo cha ajabu Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya hiyo mpaka muda huu wanalazimisha kura zihesabiwe upya. #UCHAFUZI.
CCM wanaogopa sana aibu hii kura 181 kwa 800. Hongereni sana Kata ya Ndato _Rungwe, Hongereni sana Kijiji cha goye kwa ushindi. Mmekomaa sana na mmetangzwa.
Polisi @tanpol hawajanipigia simu kuniita nikakataa… Nilikuwa barabarani siku nzima hawajajaribu kunikamata nikakimbia. Lakini cha ajabu wameambush nyumbani kwa mama yangu. Wamekamata jirani yangu awapeleke mama alipo. Nitakuja kuripoti naomba sana mumuache huyo mama. HAUSIKI.
Watu wema hawadumu. Sikumbuki akiwatusi CHADEMA. Amewahi kutenguliwa unaibu waziri Afya kwa kutofautiana mtazamo na bosi wake DIKTETA. Pia, alishughulika na BASHITE katika kura za maoni za CCM Kigamboni, DAB akiwa wa moto. Kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile kimekuwa ghafla sana.
Mama zangu wamerudi mji wa dhahabu, wameniachia maagizo mawili. (1) niendelee kushughulikia MaCCM kiulalo-ulalo (2) NIOE. Nimepokea amri zote mbili kwa utiifu lakini amri ya pili nimewaeleza hii itategemea sana na hali ya uchaguzi 2025 itakavyokwenda. Bon voyage mes mères.❤️
Hapa polisi walikasirika sana kwasababu tuu @mdudechadematz aliwaambia wawe WAPOLEE wamwache Mwenyekiti awasalimie wananchi. Polisi wanatakiwa kumwachia MDUDE ili leo aendelee na ratiba za mikutano ya hadhara ndani ya mkoa wa MBEYA.
Watoto wa Baba naomba Repost 200. Nimeambiwa hizi picha zinaumiza masisiemu. Nataka ziwafikie.🔥🔥🔥
Mwandishi; pole sana. Je, una lolote la kusema kuhusu ajali hii mbaya kabisa? Majeruhi; kwanza kabisa napenda kumshukuru mama na serikali yake kwa ujumla.
🗣"Kwenye timu yangu sitaki Pombe, sitaki wachezaji kufanya party na pia sitaki mtindo wa maisha wa kutokujali na kama utataka kufanya haya nitakutoa."- Sead Ramovic kocha mkuu Yanga SC akizungumza na waandishi wa Habari Afrika Kusini kwenye moja ya Mkutano na waandishi wa…
Kwenye taasisi kubwa na klabu kubwa ya kihistoria kama @YoungAfricansSC #Wananchi , watu wengi wanatoa mchango wao katika ujenzi wa klabu hii kubwa na kongwe barani Afrika, Muhimu zaidi sisi tuliopata bahati ya kuaminiwa katika kuitumikia klabu hii tuweke juhudi zetu zote katika…
Ukinusurika kutekwa, eleza haraka kwa umma kilichotokea. Kuna faida kuliko kunyamaza kimya. Usikae kimya tafadhali. Watekaji hao siyo ndugu zako. Usisubiri polisi ndiyo waseme kwa niaba yako. Polisi walikuwa na wajibu wa kukulinda kabla ya jaribio la kutekwa. Wameshindwa.
26/6 majira ya saa 1500Hrs, nilipata kipigo kikali ambacho sijawahi kupata maishani mwangu. Miguu haikuweza kusimama tena, mgongo ulikuwa na maumivu makali sana kwa vipigo vya UBAPA WA MAPANGA, na mafimbo. Mabega yalikuwa kwenye maumivu makali mno kiasi cha kuhisi huenda…
THE BLACK SEPTEMBER (PART 1) (Arrest or abduction of Boniyai); Siku ya 263 ya 2024, Jumatano ya 18 September 2024. Jua kiasi na mawingu kiasi hali ya Joto ya wastani nyuzi Joto 25 hadi 30 kwa kiwango cha Juu. Upepo ukipuliza kwa mbali kidogo. Hii ndiyo ilikuwa hali ya hewa ya…
Happy Birthday @MiriamMkanaka Mwanasheria Shupavu na Binti Jasiri ambae unapambania mabadiliko na haki kwa vitendo. Umekua mstari wa mbele kupaza sauti kwa wengi humu X Mwenyezi Mungu akuzidishie upendo na Baraka zaidi. HBD 🎂💫
Huyu mwenye kapelo nilitonywa anaishi kibaha na anapenda kutembelea mitaa ya machinjioni loliondo kibaha kuna pub iko pale hakai na mtu zaidi ya mke wake ambae ni mfanya biasha k/koo soon tutajua
@Sativa255 alimtambua Mafwele na akamtaja na anaendelea kumsema kila siku lakini hakuna hatua anayochukuliwa, na huyu kama katumwa na mafwele hata tukimjua ni nani bado hakuna hatua itakayochukuliwa labda tumalizane nae kihomehome tu
Repost haraka.🙇🏾🙇🏾
‼️MFIKISHIENI UJUMBE KAKA ALIYEJIOKOA‼️ Pingu ina serial number atume namba ni ushahidi tosha kuwa ni polisi na tunahitaji kwa ajili ya ripoti yetu ya kimataifa Tunakusanya ushahidi ili iwe rahisi kuwafikisha wahusika kwenye mamlaka za kimataifa 👊🏽 Natanguliza shukrani 🙏🏽…
Huyu hakuna hata anaepajua Kwake kweli? Tupate Repost 200.
Kikosi cha task force kibaha nawajua kuanzia Rasta, toll, na white zamani hawakua ivyo walikua wema sana kupambana na wahuni wanaosumbua raia ila sasa ni tofauti wako kwa jamaa yake @Sativa255 🤝
@tanpol hawajamaliza KUTEKA watanzania. Endelea kuchukua tahadhali zote. UKITEKWA NA JESHI LA POLISI UTAKUFA. Hii ni Jana tarehe 11/11/2024 KILUVYA MADUKANI. Hiki ni kikundi cha UTEKAJI kutokea Dar es salaam. Kipo chini ya FAUSTINE MAFWELE. KUKAMATWA NA KUTEKWA kwa TANZANIA…
United States Trends
- 1. Thanksgiving 2,48 Mn posts
- 2. Caleb Williams 9.885 posts
- 3. Bears 74,8 B posts
- 4. Bears 74,8 B posts
- 5. $VSG 6.863 posts
- 6. Shaboozey 5.116 posts
- 7. #VECTOR 1.102 posts
- 8. #IDEGEN N/A
- 9. Thankful 504 B posts
- 10. Gibbs 15,9 B posts
- 11. #CHIvsDET 7.462 posts
- 12. Eberflus 8.294 posts
- 13. Turkey 317 B posts
- 14. Ben Johnson 3.416 posts
- 15. #OnePride 10,2 B posts
- 16. DJ Moore 2.546 posts
- 17. #NationalDogShow N/A
- 18. Goff 7.197 posts
- 19. Penei Sewell 2.846 posts
- 20. Jamo 2.795 posts
Something went wrong.
Something went wrong.