@Delacasa17 Profile picture

Delacasa

@Delacasa17

Joined October 2018
Delacasa Reposted

Mtu pekee wa kumwamini kwenye hela zako ni wewe mwenyewe, mke, kaka dada, rafiki wote wanaweza kukupiga ukaambiwa bei ni 300 kumbe ni 250, hela nikama pumzi ni muhimu kwa kila mtu akipata nafasi lazima aivute


Delacasa Reposted

Ukweli wa maisha ni kwamba binadamu ulizaliwa bila kuomba, utaishi kwa kuhangaika na utakufa bila kuridhika. Faraja yako ni Mungu tu.


Delacasa Reposted

Utu ni bora kuliko mali, pesa hainunui furaha wala amani.


Delacasa Reposted

Usishindane na mtu kwa sababu huujui undani na uhalisia wa maisha ya mtu yeyote bali maisha yako mwenyewe. Pima maendeleo yako kwa kutazama ulipokuwa jana, ulipo leo na utakapokuwa kesho.


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.