@Ausi_Chiwambo Profile picture

Ausi Chiwambo

@Ausi_Chiwambo

Mental Health Specialist & Counsellor

"Tabasamu uficha mengi. Usione watu wanashikana mikono na wanatabasamliana barabarani ukadhani wanapendana kweli. Wengine wanatamani hata siku zirudi nyuma warekebishe walipojikwaa"

Tweet Image 1

"Kuna nyakati ili usonge mbele lazima usahau yote yaliyopita katika maisha yako. Kufikiria muda mwingi yaliyopita katika maisha yako haitakusaidia chochote. Waza kesho yako"

Tweet Image 1

"Kuwa Kiongozi ni sawa na kubeba ndoto za watu wengi sana. Maono yao na maisha yao yanakutegemea wewe. Kiongozi utakiwi kuyumbushwa na wahuni wachache kwa maslahi yao"

Tweet Image 1

"Usione watu wanalewa chakali ukadhani wana furaha au wanakula maisha. Wengi wao wamebeba matatizo mazito ambayo wameshindwa kuyabeba vifuani mwao. Wengi wao wamekata tamaa na hawana tumaini tena la kurudi maisha ya kawaida."

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.