Habari360
@360habariHabari zote mpya | +255 713 600159
Similar User
@RadioFreeAfrica
@SoggyDoggyAnter
@MichuziJr
@omarilyas
@khalfans2002
@bernfaza
@DataVision_Intl
@idrisasalum860
@sunrisehabaritz
@ColonelGoita
@zacky_clever
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Viunga vyake, wakifurahia Bata la Disemba linalofanyika katika Viwanja vya Leaders.
#MICHEZO: Sasa hivi ni saa 8:10 mchana hali ilivyo katika uwanja wa Benjamin Mkapa Stadium 🏟 kabla ya mchezo kati ya Simba Sc 🇹🇿 dhidi ya Fc Bravos kutoka Angola 🇦🇴 kuanzia saa 10:00 kamili jioni michuano ya Shirikisho Barani Afrika. Je,matokeo yatakuwaje.? #360°BlogUpdates
#TANZIA: Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Mhe.Dkt.Faustine Ndugulile kilichotokea usiku wa kuamkia leo 27 Novemba,2024 nchini India alipokuwa anapatiwa matibabu.
#VIBE: Wananchi wa mtaa wa Changanyikeni Toangoma wakisakata ngoma baada ya kumalizika kwa Uzinduzi wa kampeni kuelekea uchaguzi wa Serikali za mtaa tarehe 27 Novemba,2024 uliofanyika leo katika uwanja wa Changanyikeni Toangoma leo 23 Novemba,2024. #360°BlogUpdate
#HABARI PICHA: Mwandishi wa Habari ndugu Dickson Bisare chombo cha 360°Tv akitekeleza jukumu lake na haki yake ya kikatiba ya kumpigia kura kiongozi anayemtaka kwa ngazi ya Mwenyekiti lakini pia Mjumbe katika mtaa wake wa Wilaya ya Manispaa ya Temeke -Toangoma leo Oktoba 23,2024.
#HABARI PICHA: Katibu Mkuu wa Chama Cha Abiria Taifa (TAKUHA) kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Kamanda wa Kikosi Cha Usalama Barabarani Tanzania Afande Ramadhani Ng'anzi-DCP,,ambapo amefanya Ukaguzi wa Stend ya Mabasi Nyegezi na Stend ya Nyamhongolo Mkoani Mwanza.
Nehemiah Mchechu, ambae ni Msajili wa Hazina na kiongozi anayejulikana kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya nyumba, benki, na biashara, ameendesha harambe iliyowezesha kuchangisha milioni 117.8 za kuendeleza ujenzi wa Kanisa la KKKT, Usharika wa Naibili, Siha, Kilimanjaro.
Hospitali ya Taifa Muhimbili imeshiriki mechi ya watani wa Jadi kati ya Simba na Yanga na kutoa huduma za dharura pamoja na vipimo vya hapohapo vya magonjwa ya sukari na shinikizo damu huku wananchi wengi wakishukuru kwa huduma hizo na kuipongeza Muhimbili.
Benki ya NMB (@nmbtanzania) imezindua rasmi mfumo wa malipo wa Lipa kwa QR link (QR pay by link with click to pay), ambapo wateja na wale ambao sio wateja wa NMB kutoka popote duniani wanaweza kufanya malipo kwa kadi zao kwa kuscan QR za NMB.
#MICHEZO: Mara ya mwisho timu ya Simba Sc kuifunga Yanga Sc ilikuwa msimu wa 2022-2023 (Darby Ya Kariakoo) mabao mawili yakifungwa na Henock Inonga Baka pamoja na Kibu Denis Prosper. Je, hili linaenda kujitokeza leo.? #360°BlogUpdates
"Tupo tayari utakuwa mchezo mgumu,hii ni Darby na siku zote inakuwa na presha kubwa lakini tumepata maandalizi ya kimwili na akili ya kufanya vizuri katika mchezo wa kesho." Awesu Ali Awesu - Mwakilishi wa wachezaji wa Simba Sc.
"Tunahitaji kucheza kwenye mpango wetu,malengo na mbinu zetu pamoja na kutawala mchezo huu ili kupata ushindi kama malengo yetu yalivyo tunafahamu utakuwa mchezo mgumu kwani timu zote kubwa zinakutana." Fadlus Davis- Kocha Mkuu Simb Sc.
"Niombe kwa wale wadau,mashabiki lakini pia viongozi wakija kununua vifaa kwa ajili ya kumalizia ujenzi wakionyesha kadi ya uanachama basi wapunguziwe bei na kiweza kujichukulia bidhaa na kwenda kumalizia ujenzi wao." Ahmed Ally Msemaji wa SimbaSc.
"Tumeingia mkataba wa ushirikiano wa moja kwa moja, hatuna mashindano ya nje na ndani na mkataba ni kwa timu zetu zote." Mwenyekiti wa klabu, Murtaza Mangungu.
"Kampuni hii ya knauf ni kampuni ambayo inahusika na vifaa vya ujenzi ,nasi kama Simba tunaenda kuwa nao kwa muda wa mwaka mmoja ,tunaenda kupata manufaa makubwa katika kampuni hii,na katika hili tunaenda kuwahakikishia kwamba tutakuwa nao." Bi.Ilse Boshoff
"Sisi kama Simba sc itakuwa ni jukumu letu kumuonyesha umuhimu wetu kwa kuingia mkataba na sisi Simba sc,tunamuahakikishia kwamba tutakuwa naye Bega kwa Bega." Alisema Ahmed Ally Msemaji wa Simba Sc.
United States Trends
- 1. $CUTO 7.093 posts
- 2. Go Navy 4.399 posts
- 3. Good Saturday 33,5 B posts
- 4. #Caturday 5.380 posts
- 5. #SaturdayVibes 5.506 posts
- 6. Jackson Arnold 1.238 posts
- 7. #SaturdayMorning 2.190 posts
- 8. Snow Slingers N/A
- 9. Tornado Warning 2.589 posts
- 10. DeFi 194 B posts
- 11. #Kicksmas N/A
- 12. #PlutoSeriesEP9 361 B posts
- 13. AioonMay Reversing 302 B posts
- 14. Keith Olbermann N/A
- 15. Standard 110 B posts
- 16. WNBA 46,4 B posts
- 17. Cutoshi Farming 1.261 posts
- 18. Home Economics N/A
- 19. Daylight 108 B posts
- 20. Mayorkas 26 B posts
Who to follow
-
Radio Free Africa
@RadioFreeAfrica -
Soggy Doggy
@SoggyDoggyAnter -
Ahmad Issa Michuzi
@MichuziJr -
#NowWeKnow
@omarilyas -
Khalfan Said
@khalfans2002 -
FAZA 💥
@bernfaza -
DataVision Int'l
@DataVision_Intl -
MWANAKWETU CHOMBONI
@idrisasalum860 -
sunrise
@sunrisehabaritz -
Kanali Goïta
@ColonelGoita -
Msumba, Issack
@zacky_clever
Something went wrong.
Something went wrong.